Kuna mabadiliko yoyote katika maisha yake?Mfano stress?,anatumia dawa zozote?
Baada ya khesabu nimegundua kuwa ana mzunguko wa siku 20,kikawaida mzunguko hautakiwi upungue sku 24,Ni ishara ya kwamba kuna tatizo.
- Kuna uwezekano pia ana mzunguko mfupi kwahio anapata mzunguko mara 2 Kwa mwez yaani anapata mwazoni mwa mwezi na mwishoni mwa mwezi.
- Au pia kuna uwezekano ana matatizo ya hormones,mfano kama thyroid ipo inactive au overactive inaweza isababishe muongezeko au mapungufu ya hormoni kama ostrogen.Au kuna uwezekano ana uvimbe kwenye kizazi,cycsts au fibroids au ana matatizo kwenye mayai.
Hali hii ikiendela namshari akamuone daktari.