msaada tafadhali

enhance

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
449
Reaction score
176
wazima wapendwa?
anayeweza kunisaidia kupata chuo cha ualim taratibu zikoje?
 
wazima wapendwa?
anayeweza kunisaidia kupata chuo cha ualim taratibu zikoje?
Unataka chuo gani mpendwa...
unaweza kugoogle chuo unachokitaka ukaangalia vigezo vya kujiunga
na jinsi upya kuapply, all the best
 
Unataka chuo gani mpendwa...
unaweza kugoogle chuo unachokitaka ukaangalia vigezo vya kujiunga
na jinsi upya kuapply, all the best

asante dia ni dogo mmoja namtafutia ngazi ya cheti nilikuwa napitia huku jukwaa la elim mdau mmoja akasema umri miaka 21 kuendelea kuna ukweli ktk hili?
 
asante dia ni dogo mmoja namtafutia ngazi ya cheti nilikuwa napitia huku jukwaa la elim mdau mmoja akasema umri miaka 21 kuendelea kuna ukweli ktk hili?
Mmmh sijawahi sikia kigezo cha umri mi najua kigezo ni ufaulu tu
hiyo chai....
 
wazima wapendwa?
anayeweza kunisaidia kupata chuo cha ualim taratibu zikoje?

Vyuo vipi vingi sana, kwa private kupata ni rahisi zaidi. Kwa serikali maombo yanapaswa kupelekwa pale wizarani pana box moja la barua za kuomba Ualimu. Advantage ya vyuo vya serikali Ada ni ndogo ila sidhani kwa sasa kama bado wanapokea ila nenda pale magogoni watakupa details vizuri. Private unapata hata leo maadamu kijana wako amefaulu. Ila kule Ada iko juu zaidi. Kazi kwako.
 
thanx sisera sina uzoefu na haya maswala naomba nitajie vyuo angalau viwili vitatu vya private ili nijue wapi pa kuanzia, na je ktk hivi vyuo vya private ajira ni moja kwa moja au inakuwaje? sorry kwa usumbufu.
 
Fuata link hii leo Wizara wametangaza nafasi za mafunzo, ndani yake kuna vigezo. TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Ndani ya vigezo hivyo pia vina cut across vyuo vyote vya ualimu Tanzania.

Vyuo vya private vya ualimu kwa uchache hapa Kinondoni Muslim (Dar), Capital(Dodoma), Aggreys (Mbeya), Ununio (Dar), Mbezi (Dar), Mbeya Lutheran (Mbeya), Paradigms (Dar), Mwl Franz (Njombe), Ebonite (Dar) n.k. Vya serikali vipo kwenye hiyo link hapo juu.
Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…