Cheguevara Jr Senior Member Joined Feb 20, 2014 Posts 134 Reaction score 128 May 6, 2014 #1 wana jamvi naomba msaada jinsi ya kuapply mafunzo ya shahada online,nikifungua moe sioni sehem ya kjisajiri online,je nifanyaje wanajamvi?naomba msaada wenu
wana jamvi naomba msaada jinsi ya kuapply mafunzo ya shahada online,nikifungua moe sioni sehem ya kjisajiri online,je nifanyaje wanajamvi?naomba msaada wenu
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 May 6, 2014 #2 wana aply kupitia tcu ndugu