Msaada tafadhali

Joined
Jan 7, 2015
Posts
40
Reaction score
9
Habari...nasema haya nikijua kwa namna Moja au nyingine ntapata msaada..tatzo langu ni kwamba Mwanajeshi wangu amepindia upande kwa kushoto kitu ambacho kinanikera wakati wa mechi kwenye uwanja wa 6 kwa6
 
funga kamba kwenye jiwe la uzito wa kg 25 halafu ufunge kwenye mwanajeshi wako ukilielekeza upande wa kulia....
 
Habari...nasema haya nikijua kwa namna Moja au nyingine ntapata msaada..tatzo langu ni kwamba Mwanajeshi wangu amepindia upande kwa kushoto kitu ambacho kinanikera wakati wa mechi kwenye uwanja wa 6 kwa6

dah mkuu kwa hiyo mapigo yako kushoto tu kama mundu wa kukatia nyasi?
 
Kubaliana na hyo hali coz sio ugonjwa mkuu. Swala ni uwezo wa kumudu tendo.
 
Usishangae kwa muonekano wa mtaimbo wako.Mara nyingi mtaimbo huwa tenge kwakua korodani nazo zimekaa tenge.upande ambao koridani ipo ndani ndio mtaimbo kulalia.pia uvaaji wa nguo za ndani zinazobana husababisha kuongezeaka kwa mpindo huo.ila wapo waliozaliwa na tatizo hili kwao hua la kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…