Kasugugu
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 214
- 98
Msaada tafadhali Nina mke na ndoa yetu ina miezi saba sasa, tangu mwaka jana nimepata tatzo la kufanya tendo la ndoa na kutoa mbegu ambazo hazina rangi ya kawaida(nyeupe) bali zinaonekana na rangi inayoonekana kama ina uchafu na chembe za damu halafu mke wangu hana dalili yoyote ya kushika mimba anaingia period kama kawaida....naombeni msaada ndugu zangu