Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningemshauri avumilie na kuepuka chakula kinachomchefua sana..
Na kupata milo midogo midogo
Madawa kipindi cha ujauzito sio mazuri
Asanteni sana wakuuyaani mwanamke akiwa mjamzito anakuwa very delicate mpaka naogopa kuchangia. . .Ila kama huwa anahisi kichefuchefu ajaribu Fenegan, . ,wakati anasubiri majibu mengine