Msaada tafadhali.

Gordita

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
11,564
Reaction score
55,570
Habari,

Naomba mnisaidie kwa anayefahamu dawa ya kuzuia kutapika nyongo kwa mama mjamzito.
 
yaani mwanamke akiwa mjamzito anakuwa very delicate mpaka naogopa kuchangia. . .Ila kama huwa anahisi kichefuchefu ajaribu Fenegan, . ,wakati anasubiri majibu mengine
 
Ningemshauri avumilie na kuepuka chakula kinachomchefua sana..

Na kupata milo midogo midogo

Madawa kipindi cha ujauzito sio mazuri
 
Mkuu swali lako ni zito lkn umelileta huku dah ila powa
 
Ningemshauri avumilie na kuepuka chakula kinachomchefua sana..

Na kupata milo midogo midogo

Madawa kipindi cha ujauzito sio mazuri

yaani mwanamke akiwa mjamzito anakuwa very delicate mpaka naogopa kuchangia. . .Ila kama huwa anahisi kichefuchefu ajaribu Fenegan, . ,wakati anasubiri majibu mengine
Asanteni sana wakuu
 
Huwa dawa hakuna ila kwa upande wangu nilikuwa na hali kama hiyo nikaenda Agakhan hospital walinishauri niwe najitahidi asubuhi kabla ya kula niwenajitapisha nyongo. Kweli nilivyofanya hivyo niliendelea vizuri na sikuwa natapika tena. Hebu jaribu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…