Habari wakuu
Nasikia kuna course za diploma udom ambazo unapata na MKOPO kwa walio soma masomo ya science course hizo ni zipi na SIFA za kujiunga na course hizo ni zipi
asanteni