Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

motivater

Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
67
Reaction score
14
Habari wanajamvi, naombeni msaada kwa mtu ambae muda wake wa kuclear masomo chuo umekwisha na hajaweza kuclear na hivyo kuonekana amenidisco walau gpa bado inasoma ila tu tatizo hajajitokeza ku clear course ndani ya muda unaotakiwa. plz help
 
nenda kwa dean of students kwenye chuo ulichosoma ukaulize
 
Back
Top Bottom