M motivater Member Joined Sep 13, 2012 Posts 67 Reaction score 14 Oct 8, 2015 #1 Habari wanajamvi, naombeni msaada kwa mtu ambae muda wake wa kuclear masomo chuo umekwisha na hajaweza kuclear na hivyo kuonekana amenidisco walau gpa bado inasoma ila tu tatizo hajajitokeza ku clear course ndani ya muda unaotakiwa. plz help
Habari wanajamvi, naombeni msaada kwa mtu ambae muda wake wa kuclear masomo chuo umekwisha na hajaweza kuclear na hivyo kuonekana amenidisco walau gpa bado inasoma ila tu tatizo hajajitokeza ku clear course ndani ya muda unaotakiwa. plz help
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Oct 8, 2015 #2 Umesoma chuo gani
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Oct 9, 2015 #3 nenda kwa dean of students kwenye chuo ulichosoma ukaulize