Edo Mashili
Member
- Apr 19, 2015
- 24
- 0
Ndugu poleni na kazi kubwa ya kuimarisha afya za Watanzania pamoja na kujenga taifa.
Nina mdogo wangu wa kike ana umri wa miaka 20 ana tatizo linalompa shida sana,kuna vipele kama vchunusi vidogo vinamtokea miguun hasa maeneo ya kuanzia kwenye magoti kushuka chini vinavimba na kutoa usaha na vinaota kila baada ya dakika yani kiufupi vipo vingi sana na huwa vinamwasha sana.
Alipata dawa fulani kutoka kwa maduka ya wahindi ya kupaka na nyingine ya kuweka kwenye chai ila haijasaidia zaid vinaongezeka na vimeanza kumuuma sanaa. Ana wiki 2 toka aanze kuitumia iyo dawa ila hakuna mabadiliko.
Msaada tafadhalini wataalamu kwa mdogo vinamtesa sana.