Wasalaam,
napenda kusaidiwa kujua utaratibu wa kufuata kwa mwalimu aliepangwa kufundisha sekondari ilhali amesomea shahada elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii,ni jinsi gani ataweza kutoka huko mashuleni na kuhamia kwenye hicho kitengo cha taasisi ya elimu ya watu wazima?
Natanguliza shukrani za kipekee kwa wote wataojitokeza kutoa ushauri.