msaada tafadhar

2 pacha

Senior Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
136
Reaction score
44
habari wanajamvi hili!! jaman nilikuwa naomba mnisaidie kunijuza kwa anayefahamu.selection za uwalimu ngazi ya awali zinatoka lini? tafadhar jaman kwa anayefahamu anisaidie
 
baada ya bunge la katiba kumaliza kazi yake
 
Post za ualimu mtihani wa allah! tupige magoti tusali, walituahidi mikopo na ruzuku kutukamata mwisho wa cku imekuwa chenga. tuvunge vunge mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…