Msaada tafadhari kwa anayejua hili

ngamkai

New Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Wakuu naomba mnifahamishe hili, Mtu ambaye amesoma Degree ya BAED yaani Bachelor of Arts with Education, anaruhusiwa kufundisha kwenye vyuo vya ualimu? maana niliwahi kusikia kuwa hawaruhusiwi. Asante kwa wote mtakaoshirikiana nami katika kunidadavulia hili.
 
Hauruhusiwi mkuu,hapo anatakiwa Bachelor of Arts in Education(hawa ndio special kwa ajili ya kufundisha vyuo ndugu yangu)
 
Ndiyo anaruhusiwa kufundisha ilimradi awe na kipaji pia cha kufundisha na akaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…