Pole sana kwa hayo matatizo yako ilikuwa kabla ya kuja hapa Uende Hospitali kisha utibiwe na Ma-Dakatari utumie Dawa za Hospitali usipo pona ndio uje hapa utushitakie matatizo yako sio tu unakuja hap ana kueleza matatizo yako kabla ya kwenda Hospitali tutawezaje kukusaidia namna hivyo? Fanya hivi Kila Siku unapo amka Kabla ya kula kitu kunywa Maji ya Uvuguvugu Glasi 2 kisha baada ya kupiga mswaki kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha kaa bila ya kula kitu au kunywa kitu kwa muda wa saa moja kisha waweza kula chakula cha asubuhi. Inapofika mchana kunywa tena glasi 2 ya kaji ya uvuguvugu kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila kula kitu kisha baada ya hapo waweza kula chakula cha mchana. Nainapofika wakati wa usiku kunywa tena glasi 1 ya maji ya uvuguvugu kisha usile chakula baada ya saa moja waweza kula chakula na wakati wa kulala kunywa maji ya uvugvugu glasi 1 kisha lala fanya hivyo kila siku utapona hayo maradhi yako.Wadau Habari zenu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18-22 nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mbali mbali, typhod, malaria ,tumbo kujaa gesi , kutokupata choo, mwili wote unauma na maradhi hayo yamekuwa yakinisumbua mara kwa Mara, ni muda sasa na nimekuwa sina utendaji mzuri ktk shughuli zangu mbali mbali. Msaada tafadhari ninaamini nitapata ufumbuzi.
Pole sana mkuu!! Ndugu yetu MziziMkavu tafadhali msaada wako wahitajika hapa!!
?typhoid acha kula kachumbari safisha matunda vizuri na pia jitahidi kula vyakula visivyokuwa na gesi. kunywa maji mengi
?
Mh kachumbari Typhoid ?