Habari wakuu! Ninahitaji kulima vitungu lakini sina utaalamu wa kilimo hiki. Mwenye uelewa wa kilimo hiki tafadhari anisaidie. Nahitaji kujua ghalama zake kuanzia kukodi shamba mpaka kupandikiza kwa heka moja. Na nijue mwezi wa ngapi unafaa kulima, nahitaji kulima mwaka huu kama sijachelewa. Mipo wilaya ya Kilosa Morogoro. Natanguliza shukrani.