Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 1,604 Reaction score 3,715 Aug 13, 2022 #1 Mwenye navyo au mwenye nacho ani dm, tafadhari .
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Aug 13, 2022 #2 Kwa nini tuku dm? Kwani ni siri? Mimi ninacho kinaitwa FROM STREET TO PARLIAMENT.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Aug 13, 2022 #3 Mjuni Lwambo said: Kwa nini tuku dm? Kwani ni siri? Mimi ninacho kinaitwa FROM STREET TO PARLIAMENT. Click to expand... Mimi nahitaji km unacho kwa soft copy
Mjuni Lwambo said: Kwa nini tuku dm? Kwani ni siri? Mimi ninacho kinaitwa FROM STREET TO PARLIAMENT. Click to expand... Mimi nahitaji km unacho kwa soft copy
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Aug 13, 2022 #4 BUKOBA LAND said: Mimi nahitaji km unacho kwa soft copy Click to expand... Vitabu vingi sana vya kiswahili ni ngumu kupata soft copy. Sidhani kama ipo.
BUKOBA LAND said: Mimi nahitaji km unacho kwa soft copy Click to expand... Vitabu vingi sana vya kiswahili ni ngumu kupata soft copy. Sidhani kama ipo.
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 1,604 Reaction score 3,715 Aug 13, 2022 Thread starter #5 Mjuni Lwambo said: Kwa nini tuku dm? Kwani ni siri? Mimi ninacho kinaitwa FROM STREET TO PARLIAMENT. Click to expand... Wewe ni kuku wa kisasa ,muda wote unakunya tu ,,nimetaka kitabu najua kinaitwaje, ishu ni nakipata wapi karaghabao wewe,,
Mjuni Lwambo said: Kwa nini tuku dm? Kwani ni siri? Mimi ninacho kinaitwa FROM STREET TO PARLIAMENT. Click to expand... Wewe ni kuku wa kisasa ,muda wote unakunya tu ,,nimetaka kitabu najua kinaitwaje, ishu ni nakipata wapi karaghabao wewe,,
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Aug 13, 2022 #6 Mganguzi said: Wewe ni kuku wa kisasa ,muda wote unakunya tu ,,nimetaka kitabu najua kinaitwaje, ishu ni nakipata wapi karaghabao wewe,, Click to expand... Haaaa! Kitabu unatafuta halafu na matusi juu, tutakupaje sasa hicho kitabu, Yaani kitabu utafute wewe halafu unitukane mimi ambae ninacho! Karaghabao mwenyewe, *****!
Mganguzi said: Wewe ni kuku wa kisasa ,muda wote unakunya tu ,,nimetaka kitabu najua kinaitwaje, ishu ni nakipata wapi karaghabao wewe,, Click to expand... Haaaa! Kitabu unatafuta halafu na matusi juu, tutakupaje sasa hicho kitabu, Yaani kitabu utafute wewe halafu unitukane mimi ambae ninacho! Karaghabao mwenyewe, *****!