Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari naombeni mnisaidie maelekezo na namna bora ya kuliwezesha hili wazo langu.
Kuna utaratibu wa kujaza fomu flani zinazotolewa na wizara inyo husiana na Kilimo/mifugo nenda kama upo Dar nenda pale Veterinary Temeke karibu na TAZARA.
Utapata msaada husika, au nenda kwenye website ya wizara utapata fomu na taratibu za kufanya.