Msaada Tafadhari-Open University

Msaada Tafadhari-Open University

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
210
Reaction score
71
Wana JF, nimejaribu kuangalia kwenye website ya Open University, sijaona tangazo la Masomo la mwaka 2013/14 na nataka kujiunga na chuo hicho kusoma mojawapo ya course hizi kwa ngazi ya bachelor; Project Planning and Management, Community Development, agrobusiness,Development studies au Development Planning! Kwa mwenye taarifa zozote kama chuo hiki kinatoa mojawapo ya course hizo hapo naomba anijuze tafadhari!
 
Kozi wanazotoa cna uhakika sana ila tafuta tcu guide book kuna kozi zipo za open na kingine fika kituo cha out cha karibu utapata maelezo zaidi ndg hapo hata mwez wa saba unaomba chuo kama unataka kuwah nenda utapata majibu
 
Asante kiongozi.
 
Back
Top Bottom