Wana JF, nimejaribu kuangalia kwenye website ya Open University, sijaona tangazo la Masomo la mwaka 2013/14 na nataka kujiunga na chuo hicho kusoma mojawapo ya course hizi kwa ngazi ya bachelor; Project Planning and Management, Community Development, agrobusiness,Development studies au Development Planning! Kwa mwenye taarifa zozote kama chuo hiki kinatoa mojawapo ya course hizo hapo naomba anijuze tafadhari!