Msaada Tafadhari: Tablet imezima ghafla, niiwashe vipi?

Jokia

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
96
Reaction score
185
Habari zenu wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na ilikua na chaji ya kutosha. Nimejaribu kuiwasha mara kadhaa lakini imeshindikana kabisa kuwaka. Je tatizo linaweza kuwa nini?? Je nifanye nini ili kuirudisha katika hali ya kawaida? Asante
 
Tablet brand gani? Upo sehemu gani?
 
Bonyeza Vol+ au vol- na power button kwa pamoja......... Ikishikana kuwa fungua mfuniko disconnect bettery then rudisha inaweza kuwaka, ikifeli na hapo basi tatizo litakua serious peleka kwa fundi mzoefu.
 
Hapo atakuwa anaboot vol+ na power
 
Mtafute dog Fulani anaitwa Sadam mtaa wa kiwelu karibu tu na stendi ya bajaji soko kuu anaweza kukusaidia issue yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…