Lawrichie
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 825
- 2,340
Habari za mchana ndugu zangu! Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye lengo... Mpenzi wangu toka amenenepa amekuwa na michirizi mingi kwenye mapaja, pia hata ngozi yake imebadilika kwani amekuwa na mabaka meusi! Hapendi hii hali kabisa kwani hata nikiwa nae kwenye sita kwa sita hajiamini tena... Mwenye uelewa na tiba ya tatizo hili msaada tafadhari... KARIBUNI....