MSAADA TAFADHARI

cheusimangala_

Senior Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
114
Reaction score
176
Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
 
Huwa tamu sana ukiweka na nyanya

Usisahau nyanya mkuu

Chapati za nyanya ni amsha sana
 
Weka unga wa dona..usisahau kuweka ukwaju na manjano
 
Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
OK simple Weka Kijiko Kimoja cha Majani Ya Chai, Biliani vijiko viwili, ndimu Ya Unga Usisahau Na Bamia teketeke.
 
Chukua kende gonga gonga zikishalegea tumbukiza kwenye hyo maji, hakikisha zimechemka vizuri.
 
jaman nahitaj msaada ili nieze kueka thread yang ya kuelekezwa jambo, samahan kwa kuingilia topic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…