Msaada Tafadhari.....!!

Msaada Tafadhari.....!!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Kama huko uliko website ya secretariat
inafunguka nisaidie kunitumia file jipya
linaloita watu kwenye interview tareh 5
na 6 November 2012, pia lile linaloita
watu kazini kwa usaili uliofanyika
september 2012. huku kwetu(Arusha)
website yao haifunguki. inaandika hivi
"This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or
the reseller ran out of resources."
Tafadhali sana nasubiria maana nimeona
hayo kwa kupitia simu, lakini simu
yangu haiwezi kufungua pdf files
Ikiwezekana weka kwenye forum ya kazi
ili wafaidike wengi

Cc salosalo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom