Msaada tafadhari

Msaada tafadhari

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
27/28 octoba nilikutana kimwili na Girl frnd wangu na kwa yeye siku zake huangukia tarehe 1 au 2 kila mwezi, nimeambiwa eti mpaka sasa hajaziona siku zake it means she is pregnant according to her na hiyo siku ambayo tulikutana nilitumia kondomu kwa usahihi kabisa, So how this could be? Msaada tafadhari...!
 
Simple Calculation tokea siku yako GF alipozioona siku zake hesabu siku 11 hizo ni safe days, 7days hizo ni siku hatari, na hizo kumi zilizobaki ni safe days.

Na kwakuwa ulitumia condom basi na kama haikupasuka yaani ulizingatia matumizi sahihi ya condom bila ya shaka GF amekubetray.

Kaa ujadiliane nae kuhusu hilo na akuambie nani mhusika.
 
Na kabla ya hiyo tarehe 27/28 Oct mlikuwa hamjakutana kimwili na huyo bibie??
 
Back
Top Bottom