mwambadog
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,736
- 1,446
Ndugu zangu!
Kunaugonjwa unaitwa BAWASILI kwa maelezo nilinayo ni kua mgonjwa sehem zake za nyuma za siri yan anus hutoa nyama nje na anapo jisaidia hutoka damu. Nataka kujua tiba yake, na mazara ucpo tibu mapema pia gharama ya matibabu ni shiling ngapi? Pia ni kwanini humpata binadamu?