Huo ugonjwa unasababishwa na kupata choo kwa tabu sana..tatizo linaanzia kwenye vyakula anavyokula mtu.vyakula hvyo ni jamii ya ngano hasa mikate, chapati,.Pia kutokunywa maji mengi, mboga za majani na kutokula matunda kwa wingi hasa mapapai. kukosa choo huko huanza taratibu na tatizo likiwa sugu ndio husababisha hvyo vinyama viote na vinaitwa HAEMMORRHOIDS KWA JINA LA KITAALAMU. Ili mtu mwenye huo ugonjwa apone ni lazima afanyiwe operation inayoitwa LATERAL SPHICTEROTOMY..ambapo lazima kuna sphicters zitanuliwe ndani ya njia ya haja kubwa. Kwahiyo kama una ndugu yako ana hilo tatizo basi muwahishe hospital muhimbili akafanyiwe hyo operation. Gharama ni sio chini ya laki tano(500,000.00tshs.) maana kuna kulazwa mgojwa siku moja kabla ya operation, dawa pamoja na sindano.Kuna doctor mmoja yupo muhimbili anaitwa MKOMA yupo kitengo cha wagonjwa cha FAST TRACK.go n see him..atakusaidia sana.Operation baada ya mwezi unakuwa umepona...pole sana..naufahamu uo ugonjwa kwakuwa umenitokea na ninayokuambia ndio hayo.