Msaada Tafadhari

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
407
Reaction score
75
Nasumbuliwa na sikio ambalo linanifanya nijisikie vibaya pia linapelekea kuuma kwa kichwa kutokana na kuvutika kwa misuli ya sikio hlo. Isitoshe limeziba kabisa (halisikii chochote).

Je nitumie dawa gani niweze kupona?
 
Walaa maridhwan ila shafaita....Allah yupo atakuonyesha dawa ya tatizo lako
 
  • Kuna secretions zozote zinazotoka kwenye sikio mfano kama usaha?
  • Ni dawa gani ulizopewa utumie?
  • Unapatwa na homa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…