Maelezo zaidi ya kitaalamu yalitakiwa kutolewa na hao madaktari waliomuona mgonjwa, kuna vitu vingi vinavyosababisha ini kuwa kubwa( Hepatomegally) ambavyo huwa sorted out kutokana na kumuexamine mgonjwa na kupima vipimo mbalimbali vya mwili kisha kile kilichoonekana ndicho chanzo cha tatizo hutibiwa kama kinatibika.