Msaada tafadhari

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
343
Reaction score
304
Wakuu naomba msaada wa tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili
1.Rhetoric-
2.Tramatize-
Natanguliza shukrani
 
rhetoric ni kusema kwa kutia madoido au kutia chmvi katika usemaji (balagha)
tramatize -uzi wa uhariri
nadhani ntakuwa nimekusaidia kwa kiasi fulani kwa sababu mara nyingi maneno hutumika kulingana na mazingira hivyo sijajua upo katikamazingira yapi bt hiyo ni maana ya jumla au msingi
 
Wakuu naomba msaada wa tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili
1.Rhetoric-
2.Tramatize-
Natanguliza shukrani

'tramatize' siyo neno la Kiingereza.

Labda ulitaka kuandika 'dramatize' au 'traumatize' ?
 
Wakuu naomba msaada wa tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili
1.Rhetoric-
2.Tramatize-
Natanguliza shukrani


Rhetoric = mathalani, ni msemo tu (just saying), kwa maelezo mengine, etc.

Tramatize (Traumatize) kutokana na neno TRAUMA (mshituko), kushtushwa, kudhalilishwa, kuumbuliwa, nk.

Zinaweza kuhitaji nyongeza au masahihisho.
 
Pamoja sana wakuu kwa michango yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…