wana JF kuna jamaa yangu alikuwa anamsomesha mtoto yatima, maendeleo ya yule mtoto hayakuwa yakuridhisha hata kidogo darasani. akatakiwa kurudia kidato cha kwanza au kuhama, akahamishwa na kutafutiwa shule ingine lakini kule pia ndo akafanya vibaya zaidi. kwa kuwa huyo jamaa alikuwa ni mlezi tu akaamua kujitoa kwa maana ya kutomlipia ada na mpaka sasa haendi shule.
Je, kuna sheria yoyote inayomlazimisha mlezi huyo kuendelea kupoteza hela yake kumlipia?
Nini haki ya pande zote?
naomba kuwasilisha kwa msaada wa mawazo
Hata kama kuna sheria au hakuna sio ishu cha muhimu atumie ubinadamu ule ule alioutumia kuanza kumsomesha kwa kumtafutia elimu mbadala. Hasitafute visingizio vya kujitoa katika msaada aliojicommit. Ila nampongeza sana kwa ujasiri wake wa kujitolea kumsomesha huyo mtotowana JF kuna jamaa yangu alikuwa anamsomesha mtoto yatima, maendeleo ya yule mtoto hayakuwa yakuridhisha hata kidogo darasani. akatakiwa kurudia kidato cha kwanza au kuhama, akahamishwa na kutafutiwa shule ingine lakini kule pia ndo akafanya vibaya zaidi. kwa kuwa huyo jamaa alikuwa ni mlezi tu akaamua kujitoa kwa maana ya kutomlipia ada na mpaka sasa haendi shule.
Je, kuna sheria yoyote inayomlazimisha mlezi huyo kuendelea kupoteza hela yake kumlipia?
Nini haki ya pande zote?
naomba kuwasilisha kwa msaada wa mawazo