Msaada tafadhari

Msaada tafadhari

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habarini ndugu zangu,ninashida ya kupotelewa cheti cha kidato cha nne na cha sita sasa nimetangaza katika gazeti na nimeripoti polisi loss report ninazo,Sasa naomba juzwa nawezaje pata cheti kingine mbadala? au nini naweza fanya pata cheti original
Naombeni msaada wa hali na mali katika hili wakuu
 
Nnavyojua huwezi pata kingine ila we nenda wizara ya elimu,watakuelewesha vzur hizo ni hatua ya 1,pole sana jaribu na kwenye vituo vya redio.
 
Back
Top Bottom