Habari za muda huu wana Bodi.
Naomba kujua angalau kwa undani kuhusu ugonjwa huu wa UTI hasa kwa kina dada,je ni ugonjwa wa zinaa?
stori nzima iko hivi....
Jana kaja rafiki yangu akiwa mnyonge zaidi ya vile nilivyomzoea nilipomuuliza akanisimulia "yeye na mpenzi wake wa muda mreefu wako kwenye mkwaluzano" wiki 3 nyuma mpenzi wake alienda kwa Dr kucheki afya akakutwa na UTI akaanzishiwa dose ya sindano lakini Dr akamshauri ampereke na mwezake jamaa alipoambiwa na garl wake hakua mbishi akaenda pale pale hsptl na girl wake majibu yalipotoka ikaonyesha yeye hana maambukizi hayo ya UTI,
Binti akamaliza dose lakini doctor alimkataza asifanye mapenzi na boi wake mpaka mwezi upite apimwe tena.
Sasa kinachomuumiza Rafiki yangu mpaka akaja kunisimulia ni Anahisi mpenzi wake sio muaminifu?
Naomba mwenye uelewa kidogo kuhusu haya matatizo ya UTI anielezee ili niweze kumpa hayo rafiki yangu maana naona anakuwa Amakufa moyo na kupoteza tumaini kwa mpenzi wake ampendae.
Ahsante...naomba kuwakilisha