Adventurous trip - Safari inayohitajika ujasiri; Safari ambayo huzingatia mambo ya hatari (kwa kiasi), au mambo yasiyo ya kawaida, na (labda) pia unayofurahia.
Courtesy – adabu, heshima, kitendo cha heshima
A courtesy visit - Kutembelea mtu kama kitendo cha heshima
Haya kwa ufupi tu. Wengine wanaweza kuongeza maelezo!