Ingawa sometime ina makosa kidogo ukitumia
tool ya google translator unaweza kupata majibu
ila ngoja nijaribu machache kwa msaada wa google na uelewa wangu
liquid = kimiminika
gas= gesi
Theory=nadharia
Ex
pand=panua/
Expand=panuka
Contract hii inaweza kuwa na maana mbili inategemea kwa kingereza mkazo wa matamshi (stress)iko wapi
Con
tract = kandarasi - kwenye mambo ya ujenzi
Contract= Mkataba
Endelea mwenyewe kutafisiri tumia nyezo hii hapa
Language Tools
ulete jamvini yale maneno u nayodhani haya tafsiri sahihi
Vile vile nadhani hii mada ungeipeleka kwenye jukwaa la
lugha ingekuwa imefika mahala pake