IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Wakuu nimefanya jaribio la kulima tangawizi hapa shambani kwangu,Vzimeota na kustawi vizuri shida ni kwamba hazina uchachu sababu nini nimelima Kibiti pwani japokua wazee wa zamani wanasema walishawahi kulima zao hilo hapo zamani na lilistawi vizuri na kuwa na uchachu kama tangawizizilivyo. Hizo zimekaa karibu mwaka sasa.