Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1,100,000,000,000,000/-
BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini?
Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama
Hapo tu ndo umeharibu uhondo wa hoja yako.
ningekusaidia kama utatengua hiyo kauli niliyowekea
bold nyekundu.
1,100,000,000,000,000/-
BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini?
Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama
trilion zikiwa elfu moja inakuwa "quadrillion" mkuuNi katika muktadha gani? Inaweza kuwa hivi "trilioni elfu moja na mia moja"
trilion zikiwa elfu moja inakuwa "quadrillion" mkuu
Ni sawa kabisa...kitaalamu.trilion zikiwa elfu moja inakuwa "quadrillion" mkuu
hiyo inakuwa quadrillion mija million mia moja
inayofuata inaitwa " chengeion " au " karamagion " au " tibaijukaion "
Ha ha ha ha aaaaa Shenzy kabisa, nilikuwa nishakubali ila nilipoona Tibaijukaion ndo nikashtuka ......................
inayofuata inaitwa " chengeion " au " karamagion " au " tibaijukaion "
kuna na Rugemalilion!
Msaidie mwenzio sio vizuri
million, billion, trillion, kwa sasa namba kubwa ni quadrillion
inayofuata inaitwa " chengeion " au " karamagion " au " tibaijukaion "