Msaada: Tarakimu hizi zinasomekaje?

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
773
1,100,000,000,000,000/-

BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini?

Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama
 
1,100,000,000,000,000/-

BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini?

Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama

Hapo tu ndo umeharibu uhondo wa hoja yako.
ningekusaidia kama utatengua hiyo kauli niliyowekea
bold nyekundu.
 
Ni katika muktadha gani? Inaweza kuwa hivi "trilioni elfu moja na mia moja"
 
1,100,000,000,000,000/-

BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini?

Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama

inayofuata inaitwa " chengeion " au " karamagion " au " tibaijukaion "
 
million, billion, trillion, kwa sasa namba kubwa ni quadrillion
 
trilion zikiwa elfu moja inakuwa "quadrillion" mkuu
Ni sawa kabisa...kitaalamu.

Ingawa katika matumizi kuna variations sana kulingania na muktadha. Katika matumizi ya kawaida, ukisema quadrilion pengine ni watau wachache wanaweza kukuelewa kwa urahisi......wengi wanaelewa mpaka trillion kwa hivyo ili kuwasiliana effectively ni rahisi zaidi kusema "trilioni elfu moja...." kuliko kusema "kwadrilioni.....". Wahasibu kwa mfano wanaweza kuamua kuripoti namba zao kwa "milioni" na kwa hivyo shilingi laki tano (500,000) wataandika TZS 0.5m (nusu milioni) na bilioni moja wakaandika TZS 1,000m (yaani milioni elfu moja). kwa mfano soma/sikilizahotuba ya bajeti ya serikali uone namna wanavyoandika/soma tarakimu zao.
 
hiyo inakuwa quadrillion mija million mia moja

Wacha ukilaza wewe, hiyo inayofuata baada ya quadrillion SIO million mia moja, ni trillion mia moja.

Hivyo hapo inasomeka Quadrillion Moja na Trillion mia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…