caine
JF-Expert Member
- Jul 4, 2015
- 576
- 1,315
Wasalaam
Mimi ni kijana mjasiriamali nina mipango ya kujiajiri kwa kuanzisha garage. Nilikua naomba msaada wenu kwa wajuzi wa mambo ni taratibu zipi za kufuata ili upate udealer. Vigezo wanavyo angalia,changamoto unazopitia kama dealer na faida za kuwa dealer. Muhimu pia kama kutakua na mawasiliano yatakayo niwezesha kupata taarifa hizi zote muhimu.
Ahsanteni sana na Karibuni