Msaada: Taratibu za malipo ya bima ya gari zikoje endapo ulipata ajali na kuathirika baadhi ya sehemu mwilini?

3dd

New Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3
Reaction score
5
Wakuu habari za majukumu,

Kulinga na kichwa cha habari apo juu nilikuwa naomba kama kuna mtu anauelewa na mambo ya bima.

Mimi nilipata ajali ya gari na kupoteza baadhi ya vidole, nikafatilia madai yangu bima kwa kufata taratibu zote ila kiwango cha pesa wanachotaka kunipa ni 7m.

Sasa kulingana na athari nilizopata naona fidia wanayonipa ni ndogo, naomba kuuliza kama kuna namna naweza kufanya ili waongeze madai yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…