Msaada: Taratibu za maombi ya kujiunga na elimu ya juu kwa wale wenye sifa equivalent

EAGLE BOYZ

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
11
Reaction score
5
Habari zenu wanajukwaa....! Ningependa kufahamishwa juu ya maombi ya kujiunga na elimu ya juu nchini kupitia nacte na tcu...kwa wale wenye sifa equivalent I.e diploma au ftc wanaruhusiwa kuomba mpaka april 10 mwaka huu...ombi langu kwenu wadau naomba mnipe maelekezo ni kwa jinsi gani naweza kuomba kusoma elimu ya juu kwa kupitia tcu au nacte na taratibu gani za kufata mpaka maombi yakubaliwe....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…