Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakijapimwaKiaje kama huna hati? Naomba maelezo zaidi hapo!!
Nenda ofisi za manispaa utapewa maelekezo yote.Habari, naomba kujua taratibu za ujenzi wa nyumba mjini kwa sasa upoje ? Ikiwa ni pamoja na kujua taratibu za vibali vya ujenzi. Msaada wadau!!