Msaada:Tarehe ya kufungua MUHIMBILI.

Dr.Flav

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Wadau naomba kuuliza tarehe ya kufungua kwa First year MUHIMBILI, Kwa anayefahamu atujuze.
 
Kulingana na Prospectus yao,first year wanaripoti jumamosi 28th sept. where siku hiyo hiyo orientation course inaanza na jumatatu 30th sept. registration inaanza.Tukutane school of pharmacy tukacheze na madawa mkuu..!!!
 
Poa xana mkuu, me ntakuwa school of medicine!!Hope 2tameet.
 
Samahani mkuu, ivi muhimbili wameshatoa majina ya wanaojiunga na diploma?
 
Wadau naomba kuuliza tarehe ya kufungua kwa First year MUHIMBILI, Kwa anayefahamu atujuze.

Pumbafu ......sijui mkoje wanafunzi wa siku hizi .hujui hata tarehe ya kufungua chuo afu ndo utafaulu wewe...ndo nyie mnapasua goti badala ya kichwa
 
Pumbafu ......sijui mkoje wanafunzi wa siku hizi .hujui hata tarehe ya kufungua chuo afu ndo utafaulu wewe...ndo nyie mnapasua goti badala ya kichwa

Kuuliza si ujinga pengine nataka kuwa na uhakika....Lakin pia lugha ya matusi ni dalili ya ustaarabu mdogo, jirudi chalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…