Kuna e mail yangu moja muhimu sana kila nikifungua inbox ilkuwa inaonyesha sijapokea email yeyote mpya,lakini juzi internet ilkuwa slow nilipofungua kwa option ya basic HTML connection ikaonyesha email nyingi tu za kama wiki 1 iliyopita.Hii itakuwa imesababishwa na nini?