Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu habari za asubuhi. Nina sumbuliwa na tatizo kwenye mguu lilianza baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia mwanzo nilianza vizur baada ya kumaliza wiki kadhaa ndio mguu wa kushoto kwenye goti pakaanza kuuma yaani nikianza kukimbia tu simalizi hata kilometer moja unaanza kuuma nisipokimbia hauna shida. Naombeni msaada kwa sababu naona unanitesa kweli.