Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
mkuu kuna yale maumivu ya misuli wakati unaanza na kuna haya ya huo mfupa pembeni unajua hata kilometer moja siendi naishia kutembeaEndelea kimbia polepole maumivu yataisha
Nimewahi kuwa na maumivu kama yako lakini bada ya muda yaliisha yenyewemkuu kuna yale maumivu ya misuli wakati unaanza na kuna haya ya huo mfupa pembeni unajua hata kilometer moja siendi naishia kutembea
Mimi unaninyima amani kweli kweli yaani nikiwa road naona wenzangu wanakimbia mimi natrmbea kama kilema roho inauma haswaPole mkuu. Mimi niliumwa magoti yote mawili week mbili mpaka nikaanza kutumia sawa za kuchua maana nilianza kutembea kama kilema. Nikaacha kukimbia ndo nikakaa week mbili na siku kadhaa nikapona. Sasa hivi natembea umbali kidogo nasikia goti kama linataka kurudi tena LA mguu wa kushoto.
Wanaokwambia uendelee kukimbia hawajui maumivu unayopata usiwasikilize hata. Mwishoni utachechemea na kuumwa zaidi.
Nilishauriwa nipumzike mpaka nipone halafu nifanye mazoezi kidogo kidogo ili nisiumwe sana.
mimi nikiwa sikimbii niko vizuri tatizo linaanza nikianza kukimbia hata meter 500 sifiki lazima uanze kuumaNimewahi kuwa na maumivu kama yako lakini bada ya muda yaliisha yenyewe
Nikaona niache kukimbia kama wiki mbili. Leo nimeanza kukimbia tatizo lipo pale paleNimewahi kuwa na maumivu kama yako lakini bada ya muda yaliisha yenyewe
Na ndio maana nimekuambia sababu ni kukimbia lakini jitahidi uwe unakimbia sababu ukiiacha kabisa tatizo litaisha ukirudi nalo litarudi hivo kimbia lakini punguza umbali Na speed mpaka mguu utakapo zoea ndo uendelee Na ratiba ya kawaidamimi nikiwa sikimbii niko vizuri tatizo linaanza nikianza kukimbia hata meter 500 sifiki lazima uanze kuuma
Kuna baba karibu na ninapokaa ana dawa za mitishamba basi siku akaniambia njoo nikuchue usipotembea vizuri kesho usinipe hela. Akaanza kujisifia sijui ndo anawatibu mpaka wachezaji wa mpira wa team ya taifa ya wanawake wakipata tatizo LA misuli. Akaniambia ninavyoondoka pale kwake ndo nimeshapona. Sikupona ng'oo. Kesho yake akaniambia labda kuna kitu cha kichawi nimekanyaga anipe dawa nikamwambia asante nitarudi. Sikurudi na ukapona wenyewePole sana mkuu, nenda hospitali wakuchek au kama vip unaeza kuta ni pepo umuone nabii au pastor akuombee
Mkuu lakini nilifanya hivyo kabla sijafikiria kupumzik tatizo lilizid zaid mpaka nikafikia kuchechemea kutwa nzima. Au nikimbie nikiwa nimefunga Crepe BandageNa ndio maana nimekuambia sababu ni kukimbia lakini jitahidi uwe unakimbia sababu ukiiacha kabisa tatizo litaisha ukirudi nalo litarudi hivo kimbia lakini punguza umbali Na speed mpaka mguu utakapo zoea ndo uendelee Na ratiba ya kawaida
Basi wewe bado haujakuuma vizuri. Mimi ilikua hadi kulala ni kama adhabu. Nikishaweka mguu ni kama nautegesha vile. Nikishakaa sehemu wakati wa kunyanyuka mpaka machozi yananitoka jinsi magoti yanavyouma. Sikutamani mazoezi kabisa. Nilitamani hata ofisini nichukue ruhusa mpaka nipone maana ilikua kila ninapopita napewa pole tuu kama vile mie kilemaMimi unaninyima amani kweli kweli yaani nikiwa road naona wenzangu wanakimbia mimi natrmbea kama kilema roho inauma haswa
Kwani mkuu una kg ngap?Mkuu lakini nilifanya hivyo kabla sijafikiria kupumzik tatizo lilizid zaid mpaka nikafikia kuchechemea kutwa nzima. Au nikimbie nikiwa nimefunga Crepe Bandage
Hahahha hii hatari punguzeni kula red meat asehBasi wewe bado haujakuuma vizuri. Mimi ilikua hadi kulala ni kama adhabu. Nikishaweka mguu ni kama nautegesha vile. Nikishakaa sehemu wakati wa kunyanyuka mpaka machozi yananitoka jinsi magoti yanavyouma. Sikutamani mazoezi kabisa. Nilitamani hata ofisini nichukue ruhusa mpaka nipone maana ilikua kila ninapopita napewa pole tuu kama vile mie kilema
Mhh mimi nimguu mmoja ilifikia ukazid mpaka mchana nikawa nachechemea nikaamua kupumzika kama wiki 2. Leo nimeanza tena ila sijafika kilometer 1 nikaamua kurudi home maana hata kukimbia nilikua siwezi nikatembea tuBasi wewe bado haujakuuma vizuri. Mimi ilikua hadi kulala ni kama adhabu. Nikishaweka mguu ni kama nautegesha vile. Nikishakaa sehemu wakati wa kunyanyuka mpaka machozi yananitoka jinsi magoti yanavyouma. Sikutamani mazoezi kabisa. Nilitamani hata ofisini nichukue ruhusa mpaka nipone maana ilikua kila ninapopita napewa pole tuu kama vile mie kilema
Inaweza kuwa ndo sababu mkuu? Ila red meat sili sanaHahahha hii hatari punguzeni kula red meat aseh
Endelea ni kawaida unapoanza mazoezi,hebu endelea kama wiki hivi mm nilikuwaga na tatizo la vichomi nikokimbia nikawa navipeleka hovyohovyo naw Niko poaWakuu habari za asubuhi. Nina sumbuliwa na tatizo kwenye mguu lilianza baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia mwanzo nilianza vizur baada ya kumaliza wiki kadhaa ndio mguu wa kushoto kwenye goti pakaanza kuuma yaani nikianza kukimbia tu simalizi hata kilometer moja unaanza kuuma nisipokimbia hauna shida. Naombeni msaada kwa sababu naona unanitesa kweli.
View attachment 869410
Anza kutembea magoti yazoee. Niliambiwa uzito unachangia pia. Sasa hivi natembea goti LA kushoto linauma japo sio sana. Nawaza nikianza kukimbia si ndo tatizo litarudi upya.Mhh mimi nimguu mmoja ilifikia ukazid mpaka mchana nikawa nachechemea nikaamua kupumzika kama wiki 2. Leo nimeanza tena ila sijafika kilometer 1 nikaamua kurudi home maana hata kukimbia nilikua siwezi nikatembea tu