Hayo ni matatizo ambayo mtu huzaliwa nayo mkuu na hakuna tiba. Upande wa kushoto katika ubongo wa binadam lugha ndiko inako ratibiwa, kuna eneo linaitwa broca's area ambalo ni maalum kwa uzalishaji au utamkaji wa lugha, kama hilo eneo linamatatzo huwa mtu huwa na matatzo kama hyo ya kigugumiz kitaalamu wanaita(broca's aphasia) ko ucjali 7bu sio ugonjwa. Hili tatzo husababisha kigugumiz, kutamka baadhi ya maneno vibaya na kuruka au kuacha baadhi ya maneno ukiwa unaongea.