social_science JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 1,106 Reaction score 1,260 Apr 22, 2017 #1 habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Apr 22, 2017 #2 Wewe si social science?? Onesha maajabu ya science
Mapensho star JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,052 Reaction score 4,104 Apr 22, 2017 #3 social_science said: habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari Click to expand... inawezekana ulikuw unakula kula vitu vya baridi sasa makohozi yanakuw Kama yananata nata ndo mana inakuwa ngumu kuyatoa jaribu kupiga mswaki unakuw unaupitisha had kooni utakuw unahisi kama kutapika
social_science said: habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari Click to expand... inawezekana ulikuw unakula kula vitu vya baridi sasa makohozi yanakuw Kama yananata nata ndo mana inakuwa ngumu kuyatoa jaribu kupiga mswaki unakuw unaupitisha had kooni utakuw unahisi kama kutapika
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Apr 22, 2017 #4 Kunywa maji ya moto mix na limao kwa asubuh na jioni, Halafu acha kunywa maji ya baridi