Habari Wakuu
Nimekua na mpenzi wangu amekua akitokwa na damu mara kwa mara pale tunapoanza tu ku du..!
Tumejaribu kutafta ushauri kwa madockta wametuambia labda ni kinga za uzazi alizokua akitumia..
Lakini hakuna maumivu yoyote anayo yapata wakati wa kuduu
Ametumia dawa mpaka za U.T.I lakin tatizo liko pale pale.
Nimeamu kulifikisha hapa kwa wataalamu na kwa ushauri zaid..