Msaada: Tatizo la kuhisi vitu vinatembea mwilini

MTZ Real

Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
20
Reaction score
3
Wana JF.

Nina ndugu yangu ana miaka 25, anasumbuliwa na tatizo tangu 28.06.2015 mpaka hivi leo yaani anahisi kuna vitu vinamtembea mwilini mpaka wakati mwingine anafikia kujikuna mwili na ni maeneo ya tumbo na mgongo yaani usawa wa kuanzia kiunoni mpaka mabegani, amekua akiogopa hata kwenda kupima anahisi kwamba ameathirika na HIV/AIDS kitu kinacho mfanya kua muoga saana, msaada jamani doctors tatizo hilihua linamtokea wakati wa joto, baridi na mara nyingine muda wowote.

Msaada please.
 
Huo ni ugonjwa wa nyefunyefu.........mwambie ajitahidi aende hospital.......hapa anayeweza kupiga ramli ni Bujibuji na hayupo........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…